"Nitajioa"
— cantado por Chemical
"Nitajioa" é unha canción interpretada en tanzano publicada en 30 marzo 2019 na canle oficial do selo discográfico - "Chemical". Descubre información exclusiva sobre "Nitajioa". Busca a letra da canción de Nitajioa, traducións e feitos da canción. As ganancias e o patrimonio neto son acumulados por patrocinios e outras fontes segundo unha información atopada en internet. Cantas veces apareceu a canción "Nitajioa" nas listas de música compiladas? "Nitajioa" é un coñecido vídeo musical que tivo lugar nas listas populares, como as 100 mellores Tanzania cancións, as 40 mellores tanzano cancións e moito máis.
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Nitajioa" Feitos
"Nitajioa" alcanzou 185.7K visualizacións totais e 2.5K gústame en YouTube.
A canción foi enviada o 30/03/2019 e pasou 2 semanas nas listas.
O nome orixinal do vídeo musical é "CHEMICAL - NITAJIOA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)".
"Nitajioa" publicouse en Youtube en 29/03/2019 16:25:37.
"Nitajioa" Letra, Compositores, Selo discográfico
LYRICS
Eyo
, It's Chemical
VERSE 1
Boo piga picha just slay
Wakikuita bebebe sema hey
Twende zetu Instagram si bei
Bando buku tu linatosha kila day
Shoga yangu ringaringa kama Chunchuma
Dada yangu Linda sijui yupo Tunduma
Ndo vile navimba sitaki
Usinite Mchumba tumeonana chunchubaaa
Story za nini mi nataka tu kudanga
Kwenye pochi tishu tu sina hata khanga
Natembeza lugha zote mpaka za
;chane sina maana nakupenda
BRIDGE
Wananita Slay Queen, Ntajioa
Chumba kimoja rundo, Ntajioa
Wananita mi kijuso mbona poa
Wanaume wenyewe wa Dar ya nini kutaka ndoa???
CHORUS
Utajioa, Utajioa,Utajioa Kemikali utajioa?Utajioa, Utajioa, Utajioa hivi kweli Utajioa??
Ntajioa, Ntajioa,Ntajioa Kemikali Ntajioa?Ntajioa, Ntajioa, Ntajioa Me and I Ntajioa
VERSE 2
Simu nyumba nilipopanga saa
Chumba kimoja ka kilinge cha waganga Dar
Sina kazi narandaranda Bar
Niko kwa diet nalambalamba Dagaa
Najambajamba harufu za michicha tu
Haya mabaga na mapiza ni mapicha tu
Kingereza changu karma na DejaVu
Kuna bisshh ya Cardi B na beibyboo
Life is too short tunakula gambe tunakula gambe tunakula gambe
I never walk alone nakuja na pambe nakuja na pambe sponsor ndo ujipange
Life is too short tunakula gambee eeeh
Tunakula gambe
I never walk alone nakuja na pambe, Ni wapambe sponsor ndo vile ujipange
CHORUS
Utajioa, Utajioa,Utajioa Kemikali utajioa?Utajioa, Utajioa, Utajioa hivi kweli Utajioa??
Ntajioa, Ntajioa,Ntajioa Kemikali Ntajioa?Ntajioa, Ntajioa, Ntajioa Me and I Ntajioa
HOOK
Sura ngumu mara shape No
Photoshoot mara Tecno
Sura ya baba kwa kioo
Anioe nani labda Stereo
BRIDGE
Wananita Slay Queen, Ntajioa
Chumba kimoja rundo, Ntajioa
Wananita mi kijuso mbona poa
Wanaume wenyewe wa Dar ya nini kutaka ndoa???
CHORUS
Utajioa, Utajioa,Utajioa Kemikali utajioa?Utajioa, Utajioa, Utajioa hivi kweli Utajioa??
Ntajioa, Ntajioa,Ntajioa Kemikali Ntajioa?Ntajioa, Ntajioa, Ntajioa Me and I Ntajioa
Nitajioa is available on Boomplay:
Subscribe Chemical's Youtube Channel Via:
For Bookings: Contact +255 719360639
Email: chemicaltz1@
Follow chemical on
Instagram:
Twitter:
Facebook: